Monday, July 20, 2009

Faidika na BBC: Mshindi wa Burundi



Mshindi wa Burundi apatikana
Mshindi wa fainali ya Burundi ni Ciza Bone, mwenye umri wa miaka 23 kutoka mkoa wa Makamba. Mchanganuo wake ni kutaka kufanya biashara ya kutoa mbegu bora za zao la muhogo. Anajiandaa kuchuana katika fainali kuu mjini Mombasa, 13 Agosti 2009.

Source: BBC Swahili

3 comments:

Anonymous said...

Burundi needs peoeple like this guy.
am keen to support him via the sponsor him via the NGOs that minds this projects

Anonymous said...

That z cool


Willy

Anonymous said...

How is the guy organize this project,does anyone know??

Bosco